Toleo no: 111

07 Julai 2017

KIPAJI CHAKO NI HIKI HAPA (Katika taabu ni rahisi kujua kipaji chako halisi)

“…siku tukiimba vizuri tutafikiri sisi ni waimbaji na siku tukifundisha vizuri Nani ni nani Tanzania, Kuna watu wanafuatana na utambulisho wao, Mchango wao na karama

tutafikiri sisi ni

zao zimewatambulisha. Who is who in Tanzania? Sheikh Shaaban Robert amejulikana kwa mashairi, Askofu Moses Kulola amejulikana kwa injili, Rose Mhando amejulikana kwa nyimbo

walimu… ”

za injili. Wewe unautambulisho gani?

What is your Identity? Tunaposhindwa kujua utambulisho wetu kupitia karama na makusudi ya kuumbwa kwetu tunapoteza maana ya kuishi. Na hapa siku tukiimba vizuri tutafikiri sisi ni waimbaji na siku tukifundisha vizuri tutafikiri sisi ni walimu. Tatizo hili limewasumbua wengi na limekuwa likijulikana kama, The Crisis of Identity, ni hali ya kutokujua utambulisho wetu na mchango wetu kwa jamii.

Page 2 Ukitaka kukosa mshindi katika mchezo wa mpira wa miguu usimpige refa bali ondoa magoli na hivyo kutakuwa hakuna sehemu ya kufunga na tayari mpira utapoteza ladha. Kingine unachoweza kufanya ni kuweka nguzo nyingi za magoli (yaani badala ya mbili weka nne). Malengo mengi maishani ni usumbufu. Kuwa na malengo mengi hakukupi nafasi ya kuwa mshindi ndio maana kila timu hufunga katika goli moja tu. Maisha bila ya kuwa na lengo kuu la kufanikisha hayana ladha. Ndio maana ni muhimu kujua kusudi lako na kipaji chako.

“Je! kipaji chako

Kipaji halisi hujidhihirisha wakati wa taabu, wakati ambao uko peke yako bila ya ulio wazoea. Unachopenda kufanya gizani bila ya kuhimizwa na mtu kinaweza kuwa kipaji chako nuruni.

kinadhihirika wakati

Kipaji cha ubondia hugunduliwa nje ya ulingo na ulingoni ni sehemu ya udhihirisho tu.

wa shida? Kipaji Yusufu alitabiri Gerezani, Paulo na Sila waliimba na kumsifu Bwana wakiwa gerezani mpaka

halisi

milango ya Gereza ikafunguka. Je! kipaji chako kinadhihirika wakati wa shida? Kipaji halisi hakinyamazishwi na mazingira magumu.

hakinyamazishwi na Kipaji au karama ya Mungu huonekana hata katika taabu, Yesu aliendelea kuhubiri, kuponya na kuokoa hata akiwa msalabani. Don’t be silenced by problems

mazingira magumu.”

Nimeona Mungu akiponya kwa uponyaji mkuu katika mazingira ambayo sikuwa hata na utayari. Siku chache zilizopita tumeshuhudia Boss mkubwa aliyeachishwa kazi TANESCO akiendelea na kuhubiri injili. Kawaida ya kipaji halisi ni nyenzo inayotumika hata katika taabu, kamwe hainyamazi. Umri haunyamazishi kipaji chako, ana miaka 82 ya kuzaliwa bado Jimmy Swaggart anaimba, kupiga kinanda vizuri na kufundisha. Wako wakimbizi waliotumia vipaji vyao ugenini, wako watumwa waliotawala utumwani. Wako wafanyakazi wa ndani walioishia kuwa wafalme. Ni baada ya kugundua vipaji vyao na kuvitumia hata katika mazingira magumu. Endelea kutumia kipaji chako usikate tamaa. Mazingira magumu yanapaswa kukuhamasisha kutumia kipaji chako na si kukitelekeza kipaji chako. Kwa tafsiri yangu Paulo alimaanisha hivi, “…chochea kipaji ulichopewa na Mungu kilicho ndani yako.” 2 Tim1:6 Kileleni ndipo tunapopatikana

Life Minus Regret Program P.O. Box 68161, Boko -Dar Es Salaam

LifeMinus Regret

Phone:0766-006040/ 0788-230333/ 0652-415516/ 0766-234156, Email: [email protected]

Lifeminusregret Blog: lifeminusregret.blogspot.com

Kipaji chako ni hiki hapa.pdf

Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. Kipaji chako ni hiki hapa.pdf. Kipaji chako ni hiki hapa.pdf. Open.

273KB Sizes 32 Downloads 240 Views

Recommend Documents

NI REPRISE NI ECHANGE.pdf
Loading… Page 1. Whoops! There was a problem loading more pages. NI REPRISE NI ECHANGE.pdf. NI REPRISE NI ECHANGE.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu. Displaying NI REPRISE NI ECHANGE.pdf.Missing:

p ni"
s.2016. To: Chief, Education Program Supervisors. Education Program ... of the SRC all School Heads are advised to revise their School Report Card according ...

Iskolar ni Juan.pdf
Single, 16-25 years old, male or female, Filipino Citizen. • At least a High School graduate from a public school or Alternative Learning System. Page 2 of 4 ...

Iskolar ni Juan.pdf
Single, 16-25 years old, male or female, Filipino Citizen ... It is in this regard that we are seeking your help in sourcing applicants for this ... Iskolar ni Juan.pdf.

Satveni Ni Vel.pdf
Imam Jafar –al –sadiq died in Medina. Imam Ismaili died on the 12th of Rajab. Imam Wafi Ahmeds' imamat lasted for 15 years. At the time of Imam Wafi Ahmeds' ...

GUJARAT NI VISHESHTA.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. GUJARAT NI ...

111. Barita ni Yesusku.pdf
Sign in. Loading… Whoops! There was a problem loading more pages. Retrying... Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying.

214. Bege barita ni suruan.pdf
T 5 . 5 0 | 1 ̇ . 1 ̇ . | 7 . 5 0 |||. B 5̣ . 5̣ 0 | 1 . 1 . | 5̣ . 5̣ 0 |||. A men A men A men. Retyped by. Advendes Pasaribu. 18 Nov 2017. ADNOC Offshore, ND79. SARB North ISland. Abu Dhabi. Page 2 of 2. 214. Bege barita ni suruan.pdf. 214. B

NI-1998-Strain-gauge-tutorial.pdf
NI-1998-Strain-gauge-tutorial.pdf. NI-1998-Strain-gauge-tutorial.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu. Displaying NI-1998-Strain-gauge-tutorial.pdf.

VEDRUNA SALLENT__SENSE KIWI, HUEVO NI LACTOSA MARÇ ...
VEDRUNA SALLENT__SENSE KIWI, HUEVO NI LACTOSA MARÇ-17.pdf. VEDRUNA SALLENT__SENSE KIWI, HUEVO NI LACTOSA MARÇ-17.pdf. Open.

068. Taendehon las ni roha.pdf
Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. 068. Taendehon las ni roha.pdf. 068. Taendehon las ni roha.pdf.

44 Haheheon ni Tuhan Jesus.pdf
Syair & Lagu: Low in the grave He lay; Robert Lowry, 1874. 627. Jesus naung hehe. Luk 24:6-9. Page 3 of 9. 44 Haheheon ni Tuhan Jesus.pdf. 44 Haheheon ni ...

PURN KAREL MILESTONE NI VIGAT DARSHAVATU PATRAK.pdf ...
Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. PURN KAREL MILESTONE NI VIGAT DARSHAVATU PATRAK.pdf. PURN KAREL MILESTONE NI VIGAT DARSHAVATU PATRAK

Mga Tula ni Rizal.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. Mga Tula ni Rizal.pdf. Mga Tula ni Rizal.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu. Whoops! There wa

45 Hananaek ni Tuhan Jesus.pdf
Na i nang pe ma ru jung ta no on. 2. Tangiang nang pujian i manaek tu habangsaNa i. Mansai hushus goarNa i binahen ni pelean i. 3. Saluhut manisia i mian ...

46 Hasasaor ni Tondi Porbadia.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. 46 Hasasaor ni ...

PREDBOŽIĆNI MOLEBEN.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. PREDBOŽIĆNI ...Missing:

SINDHU KHIN NI SANSKRUTI.pdf
Page 3 of 4. SINDHU KHIN NI SANSKRUTI.pdf. SINDHU KHIN NI SANSKRUTI.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu. Displaying SINDHU KHIN NI ...

Ni-P (Nickel-Phosphorus)
10-5 emu/g) [81Iwa] are temperature-independent, Pauli-paramagnetic compounds. ... 57Gol: A.W. Goldenstein, W. Rostoker, F. Schossberger, and G. Gutzeit, ...

NI Alzheimer's Disease Neuroimaging Initiative -
signature in cognitively normal elderly people. Arch Neural 201 O; 67:949-956. 7. Fraley C, Raftery AE, Murphy BT, Scrucca L. mclust Version4 for R: Normal.

Page 1 strum" - - - - - - - 1. The Lions of the East. pao Yn hiki "" iss V (A ...
Which of the fallowing is not an operating system ? .... PBX. 54. A bag contains 5 red and n green balls. If probability of drawing a green ball is three times.

Watch Hana Kurenai Ni (1957) Full Movie Online Free ...
There was a problem loading more pages. Retrying... Watch Hana Kurenai Ni (1957) Full Movie Online Free .Mp4______________.pdf. Watch Hana Kurenai Ni ...

201706 Josep Borras - No llet ni ou.pdf
201706 Josep Borras - No llet ni ou.pdf. 201706 Josep Borras - No llet ni ou.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu.