Toleo no: 91

17 February 2017

MIMI NI MCHEZAJI WA TIMU ILE. (I belong to a winning team)

JIANDAE KWA Weekend of purpose Season V

Muda: 13 – 14 May 2017 Mahali: Tutatangaza

Kwa mfano huu jifunzeni. Lauden alikuwa mchezaji mahiri wa timu yake ya kidato cha tano, alijituma sana na

baadaye

kujizuia ili kufanikisha ushindi. Siku moja kabla ya fainali Lauden alilala mapema ili kupata muda mwingi wa

Kwa maelezo zaidi

kulala, wengine walikwenda mitaani katika mambo ya uasherati na ulevi. Licha ya bidii na juhudi za Laudeni

wasiliana nasi

yake ilishindwa mbele ya mahasimu wao. Ingawa Laudeni alionekana kuwa mchezaji wa kipekee katika mchezo,

kupitia namba hizi;

kupumzika na kujiandaa na fainali. Baadhi ya wanatimu walikwenda disko kucheza muziki na hivyo walichelewa katika kujikatalia anasa na kulala mapema bado timu yao haikufua dafu. Juhudi za Laudeni hazikufua dafu, timu bado hakuweza kuisaidia timu yake kushinda.

0656211564 /

Wapinzani wao hawakuwa na vipaji vikubwa, ila walikuwa na umoja. Wapinzani wao walizingatia maelekezo na

0652415516

kufanya inavyowapasa kwa pamoja kama timu. Wapinzani wao walielezea kuwa siri ya mafanikio yao ni umoja

~ USIKOSE ~

na ushirika katika mazoezi na mtazamo. Timu nyingi hazifungwi kwa sababu ni mbaya, bali ni kwa sababu ya utengano. Tunaweza kuwa na umoja ndani ya uwanja na utengano nje ya uwanja hii nayo haifai. Utengano katika mtazamo, maneno na matendo ndio chanzo cha kushindwa. Umoja ni muhimu uwanjani na nje ya uwanja. Mhubiri mzuri haonekani jukwaani bali

Page 2 nyumbani. Ni nje ya uwanja ndipo hutoa jibu la kinachoonekana uwanjani. Kwa wanafunzi muda wa likizo ndio unaoamua ushindi, ni muda ule ambao mwalimu hajakupangia jambo la kufanya. Timu ikishinda ushindi ni wa kila mtu, na ikifungwa basi ni wote wameshindwa wala si mlinda mlango peke yake. Ushindi ni jambo la pamoja. Si sahihi kwa mwanatimu kufikiri anaweza peke yake wala si sahihi kwa mwanatimu kufikiri kwamba hana mchango wowote. Tamko la timu ni bora kuliko tamko binafsi John Maxwell ambaye ni mwalimu mzuri wa uongozi anasema, “moja ni namba ndogo sana kufanya mambo

“Televisheni si kanisa,

makubwa.” waswahili nao wanasema, “kidole kimoja hakivunji chawa.” Wote wanasisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa pamoja na kwa umoja kama timu. Biblia inasema, wawili ni bora kuliko mmoja, tena inasisitiza kwamba, Si vema mtu awe peke yake ndio maana akamfanyia msaidizi. Utengano hutokea pale mmoja anapoacha kutimiza wajibu wake. Timu haifungwi kwa sababu nafasi zote

lengo lake ni kuwaleta watu

zimeyumba la hasha! Bali ni kwa sababu nafasi fulani imeyumba. Inawezekana ikawa ni nafasi ndogo lakini ndio chanzo cha kuyumba kwa timu. Kila mchezaji ni muhimu katika timu. Oral Robert katika moja ya vitabu vyake

kanisani na si

anaelezea umuhimu wa mgawanyo wa kazi kwa kuzingatia karama na talanta za mwanatimu. Oral anamnukuu rafiki yake Bob De Weese aliyemwambia maneno haya; “Oral, you be there to preach and pray, and your team

will do the rest.” Kwa nini tunapungukiwa baadhi ya mambo maishani mwetu? Moja ya sababu ni ili tujue kwamba mwanadamu

kuwaacha sebuleni na rimoti zao.”

ni kiumbe wa mahusiano. Katika kuhusiana na wanatimu, wanajumuiya na wanajamii wengine anakamilika. Timu ni muhimu, mizizi ya timu huenda mbali kuliko juhudi za mtu mmoja, bila ya timu tunaweza kukamilisha kazi kidogo. Yesu alikuwa na wanafunzi wake, Paulo alikuwa na Timotheo na Tito, Sauli alikuwa na Daudi na nabii Nathani. Vipi uko na nani? Bill Gates na Hayati Steve Jobs walikuwa na timu zao za ushindi. Nina amini hata Dangote na yule Strive wa Kwese Tv wana timu zao za ushindi. Si rahisi mtu asiye na timu na ushirika na watu wengine akawa na ushirika na Mungu. Kuna nyakati ambazo kuwaacha watu maana yake ni kumwacha Mungu. Si kila asiye na kikundi ni wa kiroho. Mwezi uliopita tuliandika andiko fulani, tuliowaandikia walituuliza kama tunafanya kazi kama timu au lah! Tunamshukuru Mungu tunafanya kazi kama timu ya, Life Minus Regret Team, tazama wasifu wa timu yetu (team profile) katika: www.lifeminusreget.blogspot.com Jisikie furaha kuwa sehemu ya timu fulani, usharika fulani, jumuiya fulani au kanisa fulani. Televisheni si kanisa, lengo lake ni kuwaleta watu kanisani na si kuwaacha sebuleni na rimoti zao. Unahitaji kukutana na watu waaminio kwa ajili ya ibada, kumega mkate na kuwajua wahitaji wanao hitaji msaada wako. Endelea kuifurahia timu yako ya ushindi. Barikiwa!!!

Life Minus Regret Program P.O. Box 68161, Boko -Dar Es Salaam

LifeMinus Regret

Phone:0766-006040/ 0788-230333/ 0652-415516/ 0766-234156, Email: [email protected]

Lifeminusregret Blog: lifeminusregret.blogspot.com

Mimi ni mchezaji wa timu ile.pdf

kuwaacha sebuleni na. rimoti zao.” LifeMinus Regret Lifeminusregret. Page 2 of 2. Mimi ni mchezaji wa timu ile.pdf. Mimi ni mchezaji wa timu ile.pdf. Open.

311KB Sizes 24 Downloads 164 Views

Recommend Documents

Ao Haru Ride OP, CHiCO - Sekai wa Koi ni Ochite Iru Piano & Guitar ...
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. Ao Haru Ride OP, CHiCO - Sekai wa Koi ni Ochite Iru Piano & Guitar.pdf. Ao Haru Ride OP, CHiCO - Sekai wa Ko

NI REPRISE NI ECHANGE.pdf
Loading… Page 1. Whoops! There was a problem loading more pages. NI REPRISE NI ECHANGE.pdf. NI REPRISE NI ECHANGE.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu. Displaying NI REPRISE NI ECHANGE.pdf.Missing:

p ni"
s.2016. To: Chief, Education Program Supervisors. Education Program ... of the SRC all School Heads are advised to revise their School Report Card according ...

IZA WA
Aug 3, 2010 - for clarity of illustration;. ' FIG. 13 is a side elevational ... with its new line of tufting, is advanced one step in readiness to receive the next line of.

WA - Washington_State_Incident_Field_Operations_Guide.pdf ...
Page 1 of 5. 1. Washington State Incident Field Operations Guide. COMMUNICATIONS. Introduction. This Radio Communications Guide is based on ...

king series mimi jean pamfiloff.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. king series mimi ...

MPANGILIO WA KADA NA KUMBI ZA USAILI WA MCHUJO.pdf ...
RESEARCH TECHNICIAN - TAFIRI ... ASSISTANT ACCOUNTANT - TEMESA ... Displaying MPANGILIO WA KADA NA KUMBI ZA USAILI WA MCHUJO.pdf.

elder abuse - Anglicare WA
Jul 26, 2016 - anglicarewa.org.au/training-services. Dr Barbara Meddin is director/principal consultant, Human Service Consulting. Dr Meddin has a long and ...

elder abuse - Anglicare WA
Jul 26, 2016 - anglicarewa.org.au/training-services. Dr Barbara Meddin is director/principal consultant, Human Service Consulting. Dr Meddin has a long and ...

Richland - WA School Contracts
Aug 30, 2012 - A. The District recognizes the Richland Education Association as the .... 171 and authorized credit unions and banks. 172. SECTION 2E. ..... and integrate such technology to the extent deemed appropriate in their professional.

Yakima,WA - ACP Hospitalist
particularly around the Apple Tree Golf Course where custom homes are available in various sizes and styles, including bungalow, Craftsman, Modern,.

WA Schedule
Hazleton Fun Fest Parade-Hazleton, PA. Sep 12, 2011. 6PM-9PM. Practice (stadium). Sep 15, 2011. 6PM-9PM. Practice (practice field). Sep 16, 2011. 6PM. HOME GAME vs. Lake-Lehman (Alumni. Game). Sep 19, 2011. 6PM-9PM. Practice (stadium). Sep 22, 2011.

Mimi Kara Oboeru N3 Vocabulary.pdf
ALAT PERAGA MENARA HANOI, POLA SUDUT, DAN BLOK LOGIKA. Dosen Pembimbing : Dr. Warli. M.pd. Disusun oleh : Abi Fusawat Sarji Rindi Dwi Kurniawati. Page 1 of 1. Mimi Kara Oboeru N3 Vocabulary.pdf. Mimi Kara Oboeru N3 Vocabulary.pdf. Open. Extract. Open

almostakim-wa-ajzaoh.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item.

anadariya wa tajrib.pdf
Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. anadariya wa tajrib.pdf. anadariya wa tajrib.pdf. Open. Extract.

Iskolar ni Juan.pdf
Single, 16-25 years old, male or female, Filipino Citizen. • At least a High School graduate from a public school or Alternative Learning System. Page 2 of 4 ...

Iskolar ni Juan.pdf
Single, 16-25 years old, male or female, Filipino Citizen ... It is in this regard that we are seeking your help in sourcing applicants for this ... Iskolar ni Juan.pdf.

Wa maitress madeline
Page 1 of 18. Thing explainercomplicated stuffin simple words pdf. ... Kink rosered.Prince ofDarkness (1987).Wa maitress madeline.064337970021.Into thestorm2014 telugu.IObit Driver Booster Pro. 2.3.0.serial.Ricky gervais 2.Lilo stitch dublado ... 3 s

00- Mimi Kara Oboeru N4 Bunpou.PDF
Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. 00- Mimi Kara Oboeru N4 Bunpou.PDF. 00- Mimi Kara Oboeru N4 Bunpou.PDF. Open.

Satveni Ni Vel.pdf
Imam Jafar –al –sadiq died in Medina. Imam Ismaili died on the 12th of Rajab. Imam Wafi Ahmeds' imamat lasted for 15 years. At the time of Imam Wafi Ahmeds' ...

GUJARAT NI VISHESHTA.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. GUJARAT NI ...