12/20/2017

NAFASI 25 ZA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI III HALMASHAURI YA WILAYA YA URAMBO TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 31 DECEMBE…

NAFASI 25 ZA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI III HALMASHAURI YA WILAYA YA URAMBO TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 31 DECEMBER 2017 Print

Email

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA URAMBO Halmashauri ya Wilaya ya Urambo imepokea kibali Kumb Na. FA.97/365/8 cha tarehe 29/11/2017 ktoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mkurugenzi Mtendaji wa Hlmashauri ya Wilaya ya Urambo anawatangazia wananchi wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizotangazwa kama ifuatavyo MTENDAJI WA KIJIJI III - NAFASI 25 SIFA ZAMWOMBAJI - Mhitimu wa kidato cha nne au sita - waliohitimu mafunzo ya cheti katika moja ya fani za Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Jamii au Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikari za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. JAMBO LA KUZINGATIA maombi yenye cheti/astashahada msingi (basic Certificate NTA Level 4) hayatakubaliwa NGAZI YA MSHAHARA TGSB 1 MAJUKUMUYA KAZI (i) Kuwa Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji (ii) Kusimamia ulinzi na usalama. (iii)Kusimamia utawala bora katika Kijiji (iv) Kuwa katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya Kijiji (v) Kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu zinazoongoza Serikali ya kijiji https://www.ajirazetu.com/ajira/nafasi-25-za-kazi-mtendaji-wa-kijiji-iii-halmashauri-ya-wilaya-ya-urambo-tuma-maombi-kabla-ya-tarehe-31-december-2…

1/2

12/20/2017

NAFASI 25 ZA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI III HALMASHAURI YA WILAYA YA URAMBO TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 31 DECEMBE…

(vi) Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji. (vii) kiongozi wa wakuu wa vitengo vya kitaaalam katika kijiji (viii)mwenyekiti wa jopo la wataalam waliopo katika Kijiji (ix) kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya Wananchi (x) kusimamia utungaji wa sheria ndogo za Kijiji (xi) Atawajibika kwa mtendaji kata MASHARTIYA UJUMLA - Waombaji wote waambatanishe na maelezo binafsi (CV) - picha 2 za passport size - nyaraka za vyeti viliivyothibitishwa na mamlaka za kisheria - maombi yaandikwe kwa mkono - waombaji ambao ni wafanyakazi barua zao zipitie kwa waajiri wao wa sasa - ni muhimu kuweka namba ya simu kwa mawasiliano - waombaji wote wawe na umri usiozid miaka 45 na wawe Raia wa Tanzania - mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/12/2017 saa 9 :alasiri - uwasilishaji wa taarifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria maombi yatumwe kwa ;Mkurugenzi Mtendaji (W) Halmashauri ya Wilaya, S.L.P.170, URAMBO.

https://www.ajirazetu.com/ajira/nafasi-25-za-kazi-mtendaji-wa-kijiji-iii-halmashauri-ya-wilaya-ya-urambo-tuma-maombi-kabla-ya-tarehe-31-december-2…

2/2

NAFASI 25 ZA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI III HALMASHAURI YA ...

174 inc. 5° del Código Penal) por parte del presidente de la Nación,. Ing. Mauricio Macri, el presidente del Banco Central de la República Argentina. (BCRA) ... Displaying NAFASI 25 ZA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI III HALMASHAURI YA WILAYA YA URAMBO TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 31 DECEMBER 2017.pdf.

69KB Sizes 25 Downloads 319 Views

Recommend Documents

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KADA YA AFYA.pdf
Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download ... TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KADA YA AFYA.pdf. TANGAZO LA NAFASI ZA ...

A NAFASI ZA KAZI .pdf
Forestry who attained a minimum of an Upper Second Class Honours degree at. undergraduate level. Must possess knowledge in Computer programs applicable in. research data processing and analysis. 2.4 REMUNARATION PRSS 2. 3.0 THE EASTERN AFRICA STATIST

Nafasi za Ajira ya Muda-Nafasi 50.pdf
Page 1 of 2. Page 1 of 2. Page 2 of 2. Page 2 of 2. Nafasi za Ajira ya Muda-Nafasi 50.pdf. Nafasi za Ajira ya Muda-Nafasi 50.pdf. Open. Extract. Open with.

Nafasi za Ajira ya Muda-nafasi 100.pdf
Page 1 of 2. Page 1 of 2. Page 2 of 2. Page 2 of 2. Nafasi za Ajira ya Muda-nafasi 100.pdf. Nafasi za Ajira ya Muda-nafasi 100.pdf. Open. Extract. Open with.

Tangazo la nafasi za kazi 400 kutoka serikalini.pdf
General duties are to assist in overseeing proper operation and maintenance of computer. systems, programming and business information systems, specifically ...

Tangazo la nafasi za kazi 400 kutoka serikalini.pdf
(vi)Computer Literacy. 1.3.0 BUSINESS ANALYST II - 15 POSTS ... (ii) Develop software applications by using different computer languages;. (iii) Test software ...

MPANGILIO WA MAJINA YA KUMBI ZA WASAILIWA.pdf
2 days ago - POST: SYSTEM ANALYST II ... S/N NAME. 1 ABASS YUSSUF ..... Displaying MPANGILIO WA MAJINA YA KUMBI ZA WASAILIWA.pdf. Page 1 ...

Nafasi-za-Utawala.pdf
18 Thadei Peter Leonard M. Box 1249 Dodoma, 0659999440. [email protected]. 19 Hamza Hamadi M Box 70573 DSM,0716145959. 20 Betty Judica Mushi F. Box 259 Dodoma,. [email protected], 0674056638. 21 Faustina Rajab Mgallah F Box 36162, DSM, 07

Nafasi-za-Utawala.pdf
2 Irene William Magoma F. Box 1013 Dodoma, 0765820667,. [email protected]. 3 Anthony Kimolo Fabian M. Box 80008, Kisutu DSM, 0628632542,. [email protected]. 4 Ezra Jombe M Box 0718156291/0757813959. 5 Jonas Juma M Box 1197 Mwanza, 0655856385/0756

Nafasi-za-Utawala.pdf
1 Zablon A. Mwandenga M Box 1247 Dodoma,. 2 Irene William Magoma F. Box 1013 Dodoma, 0765820667,. [email protected]. 3 Anthony Kimolo Fabian M.

Nafasi-za-Utawala.pdf
1 Happymary Martin Shoo F Box 2535 Dodoma, 0756907216. 2 Zuhura Abdallah F ... 20 Betty Judica Mushi F. Box 259 ... Page 3 of 14. Nafasi-za-Utawala.pdf.

Nafas za kazi,Mwananchi.pdf
Whoops! There was a problem loading more pages. Nafas za kazi,Mwananchi.pdf. Nafas za kazi,Mwananchi.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Details.

SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf ...
Page 2 of 928. Page 3 of 928. Page 3 of 928. SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf. SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI ...

MPANGILIO WA KADA NA KUMBI ZA USAILI WA MCHUJO.pdf ...
RESEARCH TECHNICIAN - TAFIRI ... ASSISTANT ACCOUNTANT - TEMESA ... Displaying MPANGILIO WA KADA NA KUMBI ZA USAILI WA MCHUJO.pdf.

SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf ...
SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf. SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf. Open. Extract. Open with. Sign In.

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA-WANAOSTAHILI ...
Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA-WANA ... IKIZO-YA-MISHAHARA-ilovepdf-compressed.pdf. ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA-WANA ... IKIZO-YA-MISHAHA

Utumiaji wa Mayai ya Kware.pdf
Sign in. Page. 1. /. 1. Loading… Page 1 of 1. Sl no. Rollno NAME DOB Posting. 1 1201000028 LAKSHMINARAYANA S 23/01/1990 Mysuru. 2 1201000036 ...

ORODHA YA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI ...
Page 1 of 376. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO. TANGAZO LA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KULIPWA MADAI YA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA BAADA YA UHAKIKI. S/NO. VOTE VOTE_NAME EMPLOYEE FIRST_NAME MIDDLE_NAME ...

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA ...
Loading… Whoops! There was a problem loading more pages. Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. Main menu. There was a problem previewing

360047969-Tangazo-La-Kuitwa-Kwenye-Usaili-Watendaji-Wa-Kijiji ...
Page 1 of 1. Page 1 of 1. 360047969-Tangazo-La-Kuitwa-Kwenye-Usaili-Watendaji-Wa-Kijiji-Na-Dereva-Mbeya-mjini.pdf. 360047969-Tangazo-La-Kuitwa-Kwenye-Usaili-Watendaji-Wa-Kijiji-Na-Dereva-Mbeya-mjini.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu.

360047969-Tangazo-La-Kuitwa-Kwenye-Usaili-Watendaji-Wa-Kijiji ...
Kwa msailiwa aliyesoma nje ya Tanzania ahakikishe vyeti vyake ... -Tangazo-La-Kuitwa-Kwenye-Usaili-Watendaji-Wa-Kijiji-Na-Dereva-Mbeya-mjini.pdf. Page 1 ...

Tangazo la Nafasi za Masomo ( Bachelor Degree, Masters na PHD ...
Page 1 of 27. DIPONEGORO JOURNAL OF ACCOUNTING Volume 03, Nomor 03, Tahun 2014, Halaman 1. http://ejournal-s1.undip.ac.id/index.php/accounting ISSN (Online): 2337-3806. PROFESIONALISME INTERNAL AUDITOR DAN INTENSI. MELAKUKAN WHISTLEBLOWING. Devi Novi

SHERIA YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU (anti ...
SHERIA YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU (anti human trafficking Act).pdf. SHERIA YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU ...

katiba ya muungano wa Tanzania 1977.pdf
43.Masharti ya kazi ya Rais. Page 3 of 113. katiba ya muungano wa Tanzania 1977.pdf. katiba ya muungano wa Tanzania 1977.pdf. Open. Extract. Open with.