TANZANIA UNIVERSITIES AND COLLEGES ADVENTIS STUDENTS ASSOCIATION (TUCASA) TANZANIA UNION P. O. BOX 1121, ARUSHA E-MAIL:
[email protected] Phone: +255 757497322 / +255623760894 Website: www.tucasa.tuadventist.org
TAARIFA FUPI YA TATHMINI YA ANNUAL RETREAT TAREHE 28-02/04/2018 hii ni taarifa baada ya ufuatiliaji kwenye eneo la mkutano yaani chuo cha ualimu bunda [Bunda TTC]
Taarifa zilizopi ni kwamba • Ukumbi (Vanue) ni Tsh 150,000/= kwa siku moja yenye jumla ya Tsh 750,000/= kwa siku 5 (kwa hali hiyo gharama hii imefanywa kuwa Tsh 1,000/= kwa kila mwanachama kwa siku moja ili kuleta Gharama ya mtu Mmoja mmoja) • Malazi yaani hostel ni Tsh 1,000/= kwa kila mwanachama atakayefika • (MAKADIRIO YA SIKU MOJA KWA MWANACHAMA MMOJA KWA HOSTEL NA UKUMBI NI TSH 2,000/= NA KWA SIKU 5 NI TSH 10,000/=) • Gharama ya chakula kwa siku moja imekadiriwa kuwa Tsh 8,000/= kwa siku moja yenye jumla ya Tsh 40,000= kwa siku Tano (5) • Program book Tsh 3,000/= • ID Card Tsh 3,000/=
• Tahadhari Tsh 1,500/= • Bima Tsh 2,500/=
JUMLA GHARAMA HIZO ZOTE NI TSH 60,000/= AMBAYO NI KWA MTU MMOJA Tshrt ikiwepo kwa Gharama ya Tsh 10,000/= Inakuwa jumla ya Tsh 70,000/=. Hili linaletwa kwenu ili muone picha ya retreat yetu na muweze kutoa maoni na mapendekezo juu ya budget hiyo NB: GHARAMA YA HOSTEL NA VANUE HAITAWEZA KUBADILIKA KULINGANA NA MAKUBALIANO YETU NA UONGOZI WA CHUO.
Eliya Amos Dep-secretary NTUC
[email protected] 0757-756-184