Toleo no: 33

08 January 2016

UMUHIMU WA KUTAMBUA KUSUDI III “Moyo wa mtu hufikiri njia yake; Bali Bwana huziongoza hatua zake ” Mithali 16:9 Katika biblia tafasiri ya kiingereza [NIV] mithali 16:9 inasema, “Moyo wa mtu hupanga

Weekend of purpose Season III

Dates: 09-10 April 2016,

mipango yake ili kufikia malengo yake, lakini Bwana huongoza hatua zake” (Tafsiri ya mwandishi). Hii inatupa kufahamu kuwa jukumu la kupanga mipango ili kufikia malengo fulani katika maisha yetu ni jukumu la mtu binafsi. Mpaka tumekuwa na mipango dhabiti katika kufikia

malengo tuliyonayo, Mungu hataongoza hatua zetu ili kufikia

malengo hayo. Akielezea umuhimu wa kuwa na mipango, na jinsi ambavyo Mungu huongoza hatua zetu ili kufikia malengo, kutimia kwa ndoto/maono, katika maisha ya mtu; mwenyehekima

Place: Boko Carmeli For more information call the following

mmoja amewahi kusema, “Ni vigumu kuongoza meli iliyosimama”. Mtu mwenye malengo au ndoto/maono katika maisha yake lakini hana mipango dhabiti ya kufikia jambo hilo, ni kama meli iliyosimama; hakuna namna nahodha ataweza kuiongoza meli hiyo; na hivyo hakuna namna meli hiyo itaweza kufika mwisho wa safari yake.

numbers; 0656211564 / 0652415516

Don’t miss IT

Jambo moja muhimu napenda ukumbuke; Kabla ya mipango hutangulia malengo. Malengo ni mambo unayotaka kuyafikia katika kipindi cha muda fulani; Mipango ni hatua na njia za kupita ili kufikia malengo hayo. Watu wengi wanashindwa kufanikiwa, si kwa sababu hawana uwezo wa kufanikiwa; ila ni kwa sababu hawajui wanataka kufanikiwa katika jambo gani hasa [specific targets]. Mtu asiye na malengo ni sawa na msafiri anaye safari kwenda mahali kusipojulikana. Mpaka umekuwa na malengo

mahususi, hauwezi kuwa na mipango dhabiti ya kukutoa hapo ulipo. Nakumbuka wakati ninaanza mwaka 2015, mojawapo ya malengo niliyokuwa nayo ni kuhakikisha ninasoma angalau kitabu kimoja kipya kila mwezi; na nikaweka

Page 2 mipango/mikakati ya kufikia lengo hilo. Mpaka mwaka unaisha nimefanikiwa kutimiza na kuvuka lengo hilo la kusoma angalau kitabu kipya kila mwezi; hii ni mbali na machapisho mbalimbali ninayosoma; ambapo kwa ujumla imeongeza maarifa, ufahamu, hekima na kupanua uelewa wangu juu ya mambo kadhaa. Kumbuka jambo hili; Ili kuishi maisha yenye ufanisi, ni muhimu kwa malengo yako kuendana na ndoto zako au maono au kusudi la Mungu juu maisha yako.

Kama

mojawapo ya malengo yako katika mwaka huu ni kuongeza au kukuza uhusiano wako

Weekend of purpose Season III

na Mungu, au kujijengea tabia na mwenendo fulani wa kimaisha au kurudi shule au kusoma hadi kufikia ngazi fulani, kuanzisha biashara/jambo fulani au kuboresha mahusiano yako katika eneo fulani; weka mipango ya kufikia lengo hilo. Mipango ni kama malighafi za kutengenezea bidhaa [malengo], tunapoanza mwaka huu mpya amua kupanga mipango na kuiweka mipango hiyo mbele za Mungu; na mwisho wa

yote utapata bidhaa kamili yaani kufikia malengo/ndoto na maono uliyonayo ndani yako kwa mwaka huu [Mithali 16:3].

Dates: 09-10 April 2016, Place: Boko Carmeli For more information call the following

Unapokuwa na malengo pamoja na mipango dhabiti; inakuwezesha kuweka vipaumbele

numbers;

vyako vizuri juu ya matumizi yako ya fedha, rasilimali ulizonazo, muda wako na aina ya

0656211564 /

watu unaotaka kutumia nao muda wako; kama mtu hakusaidii kufikia malengo yako ni

0652415516

vizuri ukapunguza matumizi ya muda wako kwake. Kumbuka; watu wanaosafiri kwenda mahali kusikojulikana hupenda kusafiri pamoja na

watu wengine; watu wasiotaka kufikia malengo yoyote katika maisha yao, hupenda kila mtu afanye kama wao.

Life Minus Regret Program P.O. Box 66678 Dar Es Salaam Phone:0766-006040/ 0788-230333/ 0652-415516/ 0766-234156 Blog: lifeminusregret.blogspot.com Email: [email protected]

Don’t miss IT

Umuhimu wa kutambua kusudi III.pdf

There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. Umuhimu wa ...

238KB Sizes 43 Downloads 235 Views

Recommend Documents

IZA WA
Aug 3, 2010 - for clarity of illustration;. ' FIG. 13 is a side elevational ... with its new line of tufting, is advanced one step in readiness to receive the next line of.

WA - Washington_State_Incident_Field_Operations_Guide.pdf ...
Page 1 of 5. 1. Washington State Incident Field Operations Guide. COMMUNICATIONS. Introduction. This Radio Communications Guide is based on ...

MPANGILIO WA KADA NA KUMBI ZA USAILI WA MCHUJO.pdf ...
RESEARCH TECHNICIAN - TAFIRI ... ASSISTANT ACCOUNTANT - TEMESA ... Displaying MPANGILIO WA KADA NA KUMBI ZA USAILI WA MCHUJO.pdf.

elder abuse - Anglicare WA
Jul 26, 2016 - anglicarewa.org.au/training-services. Dr Barbara Meddin is director/principal consultant, Human Service Consulting. Dr Meddin has a long and ...

elder abuse - Anglicare WA
Jul 26, 2016 - anglicarewa.org.au/training-services. Dr Barbara Meddin is director/principal consultant, Human Service Consulting. Dr Meddin has a long and ...

Richland - WA School Contracts
Aug 30, 2012 - A. The District recognizes the Richland Education Association as the .... 171 and authorized credit unions and banks. 172. SECTION 2E. ..... and integrate such technology to the extent deemed appropriate in their professional.

Yakima,WA - ACP Hospitalist
particularly around the Apple Tree Golf Course where custom homes are available in various sizes and styles, including bungalow, Craftsman, Modern,.

WA Schedule
Hazleton Fun Fest Parade-Hazleton, PA. Sep 12, 2011. 6PM-9PM. Practice (stadium). Sep 15, 2011. 6PM-9PM. Practice (practice field). Sep 16, 2011. 6PM. HOME GAME vs. Lake-Lehman (Alumni. Game). Sep 19, 2011. 6PM-9PM. Practice (stadium). Sep 22, 2011.

almostakim-wa-ajzaoh.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item.

anadariya wa tajrib.pdf
Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. anadariya wa tajrib.pdf. anadariya wa tajrib.pdf. Open. Extract.

Wa maitress madeline
Page 1 of 18. Thing explainercomplicated stuffin simple words pdf. ... Kink rosered.Prince ofDarkness (1987).Wa maitress madeline.064337970021.Into thestorm2014 telugu.IObit Driver Booster Pro. 2.3.0.serial.Ricky gervais 2.Lilo stitch dublado ... 3 s

adaght-wa-adaght-aljawi.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. adaght-wa-adaght-aljawi.pdf. adaght-wa-adaght-aljawi.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu.

Orodha-ya-Walimu-wa-Shahada-wa-Ajira-Mpya-kwa ...
Retrying... Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. Main menu. Whoops! There was a problem previewing Orodha-ya-Walimu-wa-Shahada-wa-Ajira-M

Utumiaji wa Mayai ya Kware.pdf
Sign in. Page. 1. /. 1. Loading… Page 1 of 1. Sl no. Rollno NAME DOB Posting. 1 1201000028 LAKSHMINARAYANA S 23/01/1990 Mysuru. 2 1201000036 ...

PASIPO MGANDAMIZO WA MAWAZO - I.pdf
maswali tata katika kizazi chetu. Kwa kuwa ukombozi wa Yesu Kristo unahusisha; mwili nafsi na roho hakuna namna. tunavyoweza kuepuka kujibu maswali ...

Kidadisi cha utayari wa ndoa.pdf
Page 1 of 12. KIDADISI CHA UTAYARI WA NDOA. Jiulize, Jichunguze, Jitayarishe kwa Ndoa Yako. Pr Enos Mwakalindile. Mwakalindile.weebly.com. Maswali ...

ihdatiat-nokta-wa-motajiha.pdf
Page. 1. /. 2. Loading… Page 1 of 2. Page 1 of 2. Page 2 of 2. Page 2 of 2. Main menu. Displaying ihdatiat-nokta-wa-motajiha.pdf. Page 1 of 2.

Kidadisi cha utayari wa ndoa.pdf
uliyotoka, uzoefu wako wa nyuma na wa sasa wa mapenzi; vile vile, mtazamo wako. kuhusumaana ya ndoa, pesa, ndoa na wanandugu, majukumu ya ...

72. Wa Ode Rosyana T.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. 72. Wa Ode Rosyana T.pdf. 72. Wa Ode Rosyana T.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu.

WA-SPRING-EXPERIENCE-2018.pdf
Page 2 of 15. LIVE UNFORGETTABLE. AT WALDORF ASTORIA DUBAI. PALM JUMEIRAH. Refresh, revitalise and begin the next chapter of your story at the Waldorf Astoria. Dubai Palm Jumeirah. Situated on the East Crescent of the iconic Palm Jumeirah. in Dubai a

almotalat-al9aim-azawia-wa-adaira.pdf
Page 1 of 5. Page 1 of 5. Page 2 of 5. Page 2 of 5. Page 3 of 5. Page 3 of 5. almotalat-al9aim-azawia-wa-adaira.pdf. almotalat-al9aim-azawia-wa-adaira.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu. Displaying almotalat-al9aim-azawia-wa-adaira.pdf

Best Water Line Repair Vancovuer WA 98665.pdf
property. ​At ​the ​same ​time, ​those ​faucets ​need ​to ​be ​in ​good ​working ​shape. ​A ​leaky ​faucet. or ​one ​that's ​broken ​not ​only ​immediately ​gives ​a ​less-than-polished ​impression,

4<l„_ «WA 5*?*?-о. | Google Sites
dom Forum Media Studies Center at Columbia University, declares in. Media and the ..... must rely on data gathered from valid sources to support their argu- ments. They must ..... The State of Native America: Genocide, Colo- nization, and ...