Nafasi 44 za Kazi ya Mtendaji Kijiji III Wilaya ya Ruangwa, Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 9 April 2018 Nafasi ya Kazi za Mtendaji Kijiji III Nafasi 44 Wilaya ya Ruangwa Kumb No. HWR/K.2/15/95 kwa mujibu wa kibali cha ajira mbadala chenye kumbu Na. CFC 26/205/01 "F" c/91 cha tarehe 22/08/2017 pamoja na barua ya nyongeza ya muda wa utekelezaji wa kibali cha ajira mbadala kwa watendaji wa Vijiji na mitaa chenye Kumb Na, CFC.26/205/01/"GG"/95 cha tarehe 12/03/2018 vyote kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Ruangwa anawatangazia nafasi za kazi Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi 1. MTENDAJI WA VIJIJI III NAFASI 44 A. SIFA ZA MWOMBAJI - awe amefahulu kidato cha 4 na 6 aliyefuzu mafunzo ya atashahada/cheti katika moja ya fanai zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma nau chuo chochote kinachotambulika na Serikali B. KAZI NA MAJUKUMU - kukusanya mapato ya Halmashauri ya Wilaya - afisa masuuli na mtendaji mkuu wa Serikali ya Kijiji - Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao kuwa malinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji - kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipnago ya maendeleo ya kijiji - katibu wa mikutano yna kamati zote za halmashauri ya Kijiji - kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu - kuandaa taaarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoo njaa, umaskini na na kuongeza uzalishaji mali - kiongozi Mkuu wa Vitengo vya kitaalamu katika kijiji

- Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nayaraka za kijiji - kupokea na kusikiiza na kutataua malalamiko na migogoro ya wnanachi - kiongozi mkuu wa vintego vya kitaalamu katika ngazi ya Kijiji - kusimamia kukusanya na kuhifadhi kumbu kumbu zote z na nyaraka za Serikali ya Kijiji - mwenyekiti wa kikao cha wataalamu waliopo katika Kijiji - atawajibika kwa mtendji kata iii MSHAHARA kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya serikali yaani TGS B MASHARTI YA JUMLA i. mwombaji lazima awe raia wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usizid 45 ii. barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono na kutumwa kwenye anwai tajwa hapo chini iii. waombaji waambatanishe nakala za vyeti vyake vya taaluma, cheti cha kuzaliwa na maelezo binafsi na nyaraka zote muhimu pamoja na picha 2 zilizopigwa hivi karibuni iv. testiminials statement of results hazitakubaliwa v. nafai ya kazi iliyoombwa inandikwe juu ya bahasha kutozingatia hili kutasababisha maombi yako kuwa batili vi. watakao pita kwenye mchujo wa awali ndio watakaofika kwenye usaili barua zote za maombi zinandikwe na kutumwa kwa njia ya posta kama ifuatavyo maombi yatumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, S.L.P 51, RUANGWA. NB Uwasilishaji wa barua za maombi kwa mkono katika ofosi za Halmashauri ya Wilaya hazitapokelewa mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 09/04/2018

44 VACANCIES AT RUANGWA DC.pdf

Page 1 of 2. Nafasi 44 za Kazi ya Mtendaji Kijiji III Wilaya ya. Ruangwa, Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 9. April 2018. Nafasi ya Kazi za Mtendaji Kijiji III Nafasi 44 Wilaya ya Ruangwa. Kumb No. HWR/K.2/15/95. kwa mujibu wa kibali cha ajira mbadala chenye kumbu Na. CFC 26/205/01 "F". c/91 cha tarehe ...

147KB Sizes 39 Downloads 253 Views

Recommend Documents

Vacancies at NICA.pdf
10 CoMPUTER MAINTENANCE TECHNOLOGIST il - SG-I5 {php26,192.00}. 5 ENGINEER I {Civil, ... 246 on 24 July 1987,. the NISA ond CISA were ... Section 53 of Republic Act (RA) 9372 or the Humon Security Act of 2007. provides thot the ...

7 Vacancies at UTUMISHI.pdf
21 hours ago - Page 1 of 6. UNITED REPUBLIC OF TANZANIA. PRESIDENT'S OFFICE. PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT. Ref.No.

7 Vacancies at UTUMISHI.pdf
10 hours ago - Educational Management (ADEM), President's Office, Public ... Secondary Education Certificate (IV) with at least one Principal Pass in Science.

Vacancies at Vocational Education and Training Authority (VETA ...
... in order to cope with dynamic changes in ICT; and. Page 3 of 56. Vacancies at Vocational Education and Training Authority (VETA) and Ministry of Lands,.pdf.

44 sx 44
stantial Wiping engagement With the inner surface of casing. 12 as seen in FIG. 1, and loWer cup 42 has a similar acutely angled conical surface 46. FIG. 2 illustrates a ?rst embodiment of a shearable insert or disk 48 Which is substantially ?at and

June 14, 2011 10:44 WSPC/INSTRUCTION ... - Research at Google
transducers. It is used, for example, to apply finite-state models to inputs and ..... ios. In order to simplify the presentation of the filters defined in this section, we.

Unemployment, Vacancies, Wages
Of course, this extreme result is dependent on a number of special and unreal- istic assumptions. ..... not have insurance, but that the strength and design of the insurance should take into account the ...... graphic mismatch indices based on both t

FORD Thailand Job Vacancies -
Feb 21, 2014 - Lead the team (4-10 Process Coach) operating production activities to meet ... Bachelor's degree in Mechanical / Industrial engineer or related field. •. 3-5 years experience in automotive industry with shop floor experience or ...

Company Name Available Vacancies Description ... -
→Test contains Programming Questions and duration 60 min. →Candidates can write the programing code either in Java or C or C++ or. Pseudo code. Paper 3:.

Notified-Vacancies-Directorate-of-Higher-Technical-Education ...
Page 1 of 1. Notified-Vacancies-Directorate-of-Higher-Technical-Education-Apprentice-Posts.pdf.

CoP17 Prop. 44 - cites
Oct 15, 2010 - Increasing international trade in Mobula gill plates has led to expansion of ..... (rmax) for devil rays equals 0.077 year-1, indicating that there is the ... Both species have been observed underwater travelling in schools and as ...

44.pdf
Page 1 of 3. 1. If the energy of H in the ground state is -54.4 eV, then its energy in the first excited state is. a) 13.6 eV. b) + 13.6 eV. c) – 27.2 eV. d) + 27.2 eV. 2. 2. The additional energy that should be given to an electron to reduce. its

44.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. 44.pdf. 44.pdf.

44.pdf
Also, the significance of tiny "micro-enterprises" or very small businesses ... provide credit rather than equity assistance and thus receive their funds back in time ...

ICA(dt'44
Career Service Professional and Subprofessional Pen and Paper Test on October 23, 2016, the schools listed below are advised to cut their classes at 1:00 p.m. ...

r., ._, 44. IF.,
Feb 4, 2016 - Office of the Schools DivisiOn Superintendent . '. ,i. 1, i,,, ,Jettxri,14r1As ... Phone: 046-432-9355, 046-432-9384 I Tee-Fox: 046-432-3629 ...

44.pdf
Give the truth table of an NOR gate. ( DESCRIPTIVE-TYPE QUESTIONS ). V. Either. (a) (i) Explain briefly the OR operation and give its truth. table. 1+1=2. (ii) Differentiate between positional and non-positional. number systems with examples. 1+1+1=3

CoP17 Prop. 44 - cites
Oct 15, 2010 - aggregation sites, and migratory pathways, where numerous individuals can be targeted with ...... Support and co-sponsor the proposal.

44-Multijasa.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. 44-Multijasa.pdf.

of 44
Pat Bullen and Ben Dyson, Faculty of Education. Simon Denny, Department of Paediatrics: Child and Youth Health. Sarah Fortune, Department of ... Page 3 of 44. youth12_young_people_attracted_to_the_same_or_both_sexes_report.pdf.

44.pdf
electrical activity in the living brain. The first electrical neural. activities of the human brain were registered by Hans. Berger (1924) using a simple galvanometer.

Episode 44 - Annemarie Cross
Nov 11, 2016 - You've set up and run your own awards and your conference. ..... want to bring that approach into how you do business and you're consistent with that. Alli: Yes. .... device. Anyway have a fantastic week. Thanks again Alli. Alli:.