GOMBO LA WIKI/MWEZI Tuandikie au tuma ujumbe mfupi wa simu kupitia: [email protected] www.facebook.com/mwlsamwelmkumbo +255 753 204 743

HUZUNI YA JINSI YA MUNGU

Mwl; Samwel Mkumbo

GOMBO LA WIKI

Na: Samwel Mkumbo Sehemu ya 3.

“HUZUNI YA JINSI YA MUNGU” Katika wiki hii tunaendelea na mtiririko wa kujifunza somo linaloitwa “HUZUNI YA JINSI YA MUNGU”, na wiki iliyopita tulijifunza mambo kadhaa, na mstari wetu mkuu tunaoutumia katika Somo hili ni ule wa 2 Wakorintho 7:10 na katika huo tutajifunza mengi zaidi…….. KARIBU!! 2 Wakorintho 7:10, umeandikwa hivi; “Maana huzuni iliyo kwa jinsi ya Mungu hufanya toba liletalo wokovu lisilo na majuto; bali huzuni ya dunia hufanya mauti.” Wiki iliyopita katika sehemu ya pili tulitazama suala la KUKIRI DHAMBI, na naamini kwa jinsi tulivyolitazama kwa undani utakuwa umepata jambo la kukusaidia. Sasa baada ya hatua tulizokwisha kuzitazama. Tuendelee, na kumbuka haya ninayokufundisha ndiyo yatakayokuja kutusaidia nitakapokuwa nakuonesha TOFAUTI YA HUZUNI YA JINSI YA MUNGU, na ile HUZUNI YA DUNIA.

Kutubu dhambi. Kwa maneno rahisi ni kuamua/ kukata shauri kwa kuamua kubadili njia ambayo ulikuwa unapita katika maisha yako au jambo Fulani maishani mwako, nah ii inatokana na njia au hatua nilizokuelezea nyuma kupita. Yaani ili mtu afikie hatua hii ya Kutubu dhambi au kosa ni lazima kwanza awe AMELITAMBUA KOSA/DHAMBI yenyewe, kisha KUJUTUTIA halafu tena KUKIRI ndiposa KUTUBU HUFUATA. Lakini zaidi ya hayo niliyokwisha kukueleza hapo juu, natamani nikuongezee jambo ya kwamba kwa ujumla wake wa hayo niliyokufundisha katika sehemu mbili zilizopita, ni kwamba KUTUBU huja kutokana na KUKUBALI NA KUTII. Hayo ndiyo maelezo mafupi yanayoweza kumeza mambo mengi niliyokuandikia hapo juu, ni kwamba KUTUBU ni matokeo ya KUKUBALI na KUTII. Na labda ngoja nikueleze maana ya Kukubali na Kutii.

Kukubali Maana ya haraka ya neno “Kukubali” Ni kuwa tayari kufundishwa na BWANA ili upate ufahamu. hii inanipa uwezo wa kukwambia kuwa jambo la msingi ili upate kufundishwa na upate ufahamu ni kuwa tayari kufundishwa na huyo anayekufundisha huko ndiko kunaitwa kukubali na ndiko kunaleta mabadiliko ya ndani na ya nje kwa mtu yeyote Yule. Isaya 48:16-17 inasema hivi; “16Nikaribieni, sikieni haya; tokea mwanzo sikunena kwa siri; tangu yalipokuwapo, mimi nipo; na sasa Bwana MUNGU amenituma, na roho yake.17 Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata. Sasa nataka nikuoneshe maneno haya;..,……. 16 Nikaribieni, sikieni haya;…… Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye…………. Mungu anaanza na neno NIKARIBIENI, maana yake ni wito anaokuita, kabla Mungu hajakufundisha kwanza anakuita mana hawezi kukufundisha ukiwa umezagaa zagaa tu au uko mbali nae, au uko katika hali ya kuhangaika. Huwa kwanza anakuita anasema NIKARIBIE, kisha anaongeza neno la msingi ambalo linaashiria “Utulivu”, pale anaposema SIKIENI HAYA… anachotaka kwanza ni utulivu wa mtu. Sasa mtu Yule anayetenda yote haya, yaani ANAEKARIBIA (kusikia wito/mwaliko) halafu ASIKIE HAYA….(anayetulia) ndiye anayepata nafasi ya KUFUNDISHWA NA BWANA, na huko ndiko tunaita KUKUBALI. Baada ya kukueleza hilo, nataka nikutazamishe jambo kidogo ili ujue zaidi juu ya kufundisha na BWANA. Zaburi 32:8 tunakuta maneno haya; “Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea;……..” sasa kwa hali ya kawaida neno kufundisha lina maana ya “Kupewa Maelekezo juu ya jambo Fulani”. Hivyo Mungu anaposema “Nitakufundisha” maana yake “Nitakupa maelekezo”. Sasa basi ikiwa nimekwambia KUTUBU ni matokeo ya Kukubali na Kutii ina maana Kutubu ni matokeo ya Kuwa tayari kufundishwa/Kupewa maelekezo na Kutii., (nitakuambia maana ya kutii mbele kidogo). Basi kwa maelezo mafupi tunaweza kusema mtu anapofikia hatua ya Kutubu ni lazima hapo nyuma “Alikubali kufundishwa/kupewa maelekezo na Akatii hayo”. Mtu anapofundishwa itamwezesha kufanya au kutokufanya hatua inayofuata yaani Kutii. Kutii

Ni kufanya kile ulichoamriwa baada ya kufundishwa, yaani baada ya kukubali kufundishwa ambapo nilikwambia ni Kupewa maelekezo, sasa ile hali ya kufanya jambo kama umepewa maelekezo ya kufanya au kutofanya jambo kama umepewa maelekezo ya kutofanya ndio inayoitwa Kutii. Luka 5:5 inasema hivi; Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Kauli anayosema Simoni inaweza kutupa mtazamo halisi wa hili ninalokufundisha hapa, tazama maneno haya “……… lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Simoni anachoonesha ni kwamba kitendo chake cha kushusha nyavu ni matokeo ya maelekezo aliyoyapata kutoka katika “NENO LILILOSEMWA NA YESU”, ahaa, hivyo basi Yesu angemwambia “asishushe nyavu” ni kweli asingeshusha maana kwa wakati huo alikuwa anategemea Neno toka kwa Yesu ili Atii. Yohana 5:8-9 inasema; Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende. akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda…………….

9

Mara yule mtu

Sasa labda nikupe maelezo ya kina hapa katika habari ya Kutii, mara nyingi kutii hutokea wakati mtu anapoambiwa aua anapopewa maelekezo ya kufanya jambo ambalo kwa akili ya kawaida(kibinadamu) au ufahamu wake inakuwa kama haiwezi kuwa. Na ndio maana huyo mtu (katika Yohana 5:8-9) kama ukianzia kusoma tangu mistari ya mwanzoni ni mtu aliugua kwa miaka mingi, na hakuweza kupona na imani ya kupona kwake aliiweka kwenye maji ya birika. Lakini Yesu alipokuja aliibadilisha na hivyo huyu mtu alihitajika kuwa na Utii. Ahaa, sasa basi hii tunaweza kuileta hata katika habari ya “kutubu” Kutii kunahitajika maana unaweza kupewa maelekezo kwa kufundishwa yanayokutaka uache au usitende jambo ambalo kwa hali ya kawaida (kibinadamu) unaweza kuliona si Tatizo hatakidogo wala halina shida. NA HAPO NDIPOSA MUNGU HUTUMIA HUZUNI ILIYO YA JINSI YA MUNGU ILI KUWEKA NGUVU ITAKAYOKUKIMBIZA KUTUBU. Tazama nami: “Huzuni ya Jinsi ya Mungu” ni matokeo ya Kutambua, Kujutia na Kukiri Kosa lakini ili ikamilike zaidi Huzuni ya Jinsi ya Mungu hukupeleka “Kutubu” maana katikati ya Huzuni ya Jinsi ya Mungu kuna maelekezo (mafundisho) yanayokuja yatakayokuhitaji uyatende na unapoyatenda ndio kutii na hayo maelekezo

hayatakupelekea mahali pengine kama ni suala linalohusu Dhambi/Kosa zaidi ya kukutaka “Utubu”. Na hiyo ndiyo tofauti kubwa nitakayokueleza hapo mbele, kati ya “Huzuni ya Jinsi ya Mungu” na ile ya Dunia. Tazama nami tena: Huzuni ya Dunia haiwezi kukupeleka mwisho mzuri, haiwezi kukufanya uangalie kuwa kuna tumaini tena pale unapokuwa katika hali ngumu na ya dhiki, ndio! Huzuni ya Dunia haiwezi kukufanya utazame kuwa kuna Mungu, ila inakufanya Uone kuna MUNGU aliyejiandaa kuhukumu tu na wala si kusamehe. Huzuni ya Dunia inakufanya uone ulilolifanya limekuangamiza wala hakuna njia tena, wala hakuna kutoka tena, kama ni hali ya umasikini, huzuni ya dunia itakuambia ulipokataa kutoa rushwa ili upate kazi ulikosea, kama ni binti itakuambia kutovaa mavazi yanayoonyesha mwili wako ndio kumekufanya usiolewe hata leo, kama ni magonjwa huzuni ya dunia itakwambia ulipokataa kwenda kwa mganga ndio umejiangamiza, ujumla wa yote hayo ni MAJUTO na majuto HULETA MAUTI …… bali huzuni ya dunia hufanya mauti.” (2 Wakorintho 7:10) HIYO NDIO HUZUNI YA DUNIA, ITAENDELEA…………

HUZUNI YA JINSI YA MUNGU-3.pdf

Whoops! There was a problem loading more pages. Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps.

386KB Sizes 38 Downloads 312 Views

Recommend Documents

HUZUNI YA JINSI YA MUNGU... Wiki 1.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. HUZUNI YA ...

Jinsi Ya Kumfurahisha Mkeo.pdf
katika kutekeleza haki hizi katika maisha ya kila siku. Ufupisho ufuatao unamulika. zaidi katika majukumu ya nini kinaweza au kinachotakiwa kifanywe. Kila jambo. lililotajwa na muandishi limeegemezwa katika ushahidi wa Qur-aan, Sunnah au. matendo ya

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WANAFUNZI-WALIOCHAGULIWA-KIDATO ...
Page 1 of 15. S/N NAMBA YA. MTIHANI. JINSIA JINA KAMILI SHULE ATOKAYO TAHASUSI. SHULE. AENDAYO. WILAYA YA. SHULE. AENDAYO. MKOA WA.

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WALIOBADILISHIWA-VITUO ...
Gerald. Muuguzi daraja la II Halmashauri ya. wilaya ya Rugwe. Halmashauri ya. Wilaya ya Karatu. 2. Lina Efrem Mrema Afisa Muuguzi. Msaidizi daraja la II. Halmashauri ya. wilaya ya ... Page 3 of 3. Main menu. Displaying ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-W

SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf ...
Page 2 of 928. Page 3 of 928. Page 3 of 928. SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf. SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI ...

SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf ...
SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf. SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf. Open. Extract. Open with. Sign In.

Jumapili ya 5 ya Kwaresima A 2017.pdf
Jumapili ya 5 ya Kwaresima A 2017.pdf. Jumapili ya 5 ya Kwaresima A 2017.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu.

YA Book Prize.pdf
There was a problem loading more pages. YA Book Prize.pdf. YA Book Prize.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu. Displaying YA Book Prize.pdf.

KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KWA KISWAHILI (PENAL CODE ...
KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KWA KISWAHILI (PENAL CODE).pdf. KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KWA KISWAHILI (PENAL CODE).pdf. Open.

Jumapili ya 3 ya Kwaresima A 2017.pdf
watu hawa? Bado kidogo nao watanipiga kwa mawe. Bwana akamwambia Musa, Pita mbele ya watu, uka- wachukue baadhi ya wazee wa Israeli pamoja nawe;.

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA-WANAOSTAHILI ...
Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA-WANA ... IKIZO-YA-MISHAHARA-ilovepdf-compressed.pdf. ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA-WANA ... IKIZO-YA-MISHAHA

16,000 hatarini kukosa mikopo ya elimu ya juu.pdf
Whoops! There was a problem loading more pages. Retrying... Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more ...

ORODHA YA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI ...
Page 1 of 376. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO. TANGAZO LA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KULIPWA MADAI YA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA BAADA YA UHAKIKI. S/NO. VOTE VOTE_NAME EMPLOYEE FIRST_NAME MIDDLE_NAME ...

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA ...
Loading… Whoops! There was a problem loading more pages. Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. Main menu. There was a problem previewing

Ya Ya Bridges Activity + Description Estimat ed Time
Oct 5, 2013 - Theme: __Family member. Objective: _Review family members ... 我/他/她家有….(+number) 个人,+ add the family member you/he/she have.

RATIBA YA BUNGE.pdf
Page 1 of 5. Page 1 of 5. Page 2 of 5. Page 2 of 5. Page 3 of 5. Page 3 of 5. RATIBA YA BUNGE.pdf. RATIBA YA BUNGE.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In.

YA Book Prize.pdf
are no longer born naturally, girls (called "eves") are raised in Schools. and trained in ... and Isabel are best friends. Now, aged ... Page 2 of 2. YA Book Prize.pdf.

Samsung ya sbr510 manual pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. Samsung ya ...

I just wanna love ya I just wanna love ya Ajikdo kkumin geot gata oh ...
[Rap Monster] a i chonnomdeul nan. Seoul state of mind nan seoureseo naseo seoulmal jal baewotda yojeumeun mwo eodi saturiga da byeoseuridaman.

SHERIA YA KUZUIA UGAIDI.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. SHERIA YA ...Missing: