Jinsi Ya Kumfurahisha Mkeo Akhawaat

Shaykh Muhammad 'Abdul-Haliym Haamid Imetarjumiwa na Ummu Ummu Ayman..

Ili kusaidia familia za Kiislam na kueneza mafundisho ya Uislam katika kujenga familia, MSA (Muslim Students Association) katika Chuo Kikuu cha Alberta, Canada, kimetayarisha ufupisho wa tafsiri ya vitabu viwili. Vitabu katika lugha ya kiarabu vilivyotungwa na Shaykh Muhammad 'Abdul-Haliym Haamid. Mwanachuoni wa Kimisri, ambaye amemaliza masomo yake katika chuo cha Islamic University cha Madiyna An-Nabiwiyyah huko Saudi Arabia. Vitabu vyenyewe ni : 1.

Namna ya kumfurahisha Mkeo

2.

Namna ya kumfurahisha Mumeo

Hivi ni vitabu vizuri kabisa vya Kiarabu ambavyo tumeviona katika somo hili. Vimekwenda mbali katika kuelezea, kuanzia haki na wajibu mpaka adaab (tabia njema) na kwenda mbali katika kutekeleza haki hizi katika maisha ya kila siku. Ufupisho ufuatao unamulika zaidi katika majukumu ya nini kinaweza au kinachotakiwa kifanywe. Kila jambo lililotajwa na muandishi limeegemezwa katika ushahidi wa Qur-aan, Sunnah au matendo ya Maswahaba, bali ushahidi haukuwekwa katika tafsiri hii. Ifuatayo ni tafsiri ya kitabu cha kwanza. Tafsiri hii ya Kiingereza imemilikiwa na MSA (Muslim Students Association) katika Chuo Kikuu cha Alberta (Canada), na ya Kiswahili inamilikiwa na ALHIDAAYA www.alhidaaya.com.

Usisite kuituma kwa wengine au kuitoa kopi kwa njia nyoyote, ilimradi tu hutofanya mabadiliko yoyote, au kuongeza, au kupunguza bila ya ruhusa. Ifuatayo ni sehemu ya KWANZA ya ufupisho wa kitabu “ How to make your wife happy” na Shaykh Muhammad 'Abdul-Haliym Haamid.

1.

Mapokezi Mazuri Baada ya kurudi kutoka palipowatenganisheni:    

2.

skuli,

safarini,

au

popote

pale

Anza kwa maamkizi mazuri Anza kwa Assalaamu 'Alaykum na tabasamu. Salaam ni Sunnah na ni duaa kwake (mkeo) pia. Mpe mkono na ziache habari mbaya mpaka baadae.

Maneno mazuri na makaribisho ya kufurahisha    

3.

kazini,

Chagua maneno mema na jiepushe na maneno mabaya. Shughulika nae unaposema au anaposema yeye ·Sema kwa ufasaha na rejea maneno inapohitajika mpaka afahamu/aelewe. Mwite kwa majina mazuri anayoyapenda, mfano Mpenzi wangu, honey (asali, tamtam), (habibty), swaaliha (mwanamke mwema), n.k

Urafiki na maliwazo  

Tumia muda kuzungumza nae Mfikishie habari njema



4.

Kumbuka kumbukumbu zenu nzuri za kuwa pamoja.

Michezo na burudani    

5.

Mfanyie mzaha na jiweke katika hali ya furaha Chezeni na mshindane katika michezo na mambo mengine. Mchukue kuangalia aina za burudani zilizo halali. Jiepushe na mambo ya haram katika kuchagua aina ya burdani.

Msaada katika kazi za nyumbani

Fanya kile ambayo wewe mwenyewe unaweza/ unapenda kukifanya ili kumsaidia, hasa anapokuwa mgonjwa au amechoka.  La muhimu kuliko yote ni kumuonyesha wazi unathamini/unashukuru jitihada zake katika kazi. 

6.

kuwa

Kushauriana (Shuura)     

7.

Hususan katika masuala ya familia Kumpa hisia kuwa maoni yake ni muhimu kwako. Kuyazingatia maoni yake kwa makini Kuwa tayari kubadilisha maoni yako kwa maoni yake iwapo yatakuwa ni bora zaidi. Mpe shukurani kwa msaada wake wa maoni.

Kutembelea wengine 

Chagua watu wenye malezi mema wa kufanya mahusiano nao. Kuna malipo makubwa katika kuwatembelea jamaa na watu wacha Mungu. (Sio kuwatembelea kwa kupoteza wakati)

 

8.

Muongozo wakati wa kusafiri         

9.

Muage vizuri na kumpa ushauri mwema Mtake akuombee dua Watake jamaa wacha Mungu na marafiki kuiangalia familia wakati wa kutokuwepo kwako. Mpe pesa za kutosha kwa mahitaji anayoweza kuhitajia Jaribu kuwa na mawasiliano nae ama kwa simu, e-mail (barua pepe), barua, n.k. Rejea haraka iwezekanavyo. Mchukulie zawadi Jiepushe na kurejea nyakati zisizotarajiwa au nyakati za usiku. Mchukue (safarini) ikiwezekana.

Msaada wa kifedha   



10.

Kuwa muangalifu kuhakikisha tabia za Kiislamu wakati mnapowatembelea watu. Usimlazimishe kuwatembelea wale ambao yeye hajisikii raha kuwa nao.

Unatakiwa kuwa mtumizi kwa mujibu wa uwezo wake wa kifedha. Usiwe bahili na pesa zake (wala usiwe mfujaji). Unapata malipo kwa matumizi yote unayotumia kwa ajili ya kumkirimu (mkeo) hata kwa kipande kidogo cha mkate ambacho unamlisha kwa mkono wako (hadiyth). Unahimizwa sana kumpa kabla yeye hajakuomba.

Kunukia vizuri na kujipamba mwili   

Kufuata Sunnah ya kunyoa nywele za utupuni na Daima uwe msafi na nadhifu. Jitie manukato kwa ajili yake (mkeo)

kwapani.

11.

Jimai (Tendo la ndoa)        





12.

Unawajibika kulifanya mara kwa mara iwapo huna dharura (ugonjwa,n.k) Uanze kwa “BismiLlaah” na du'aa zilizo sahihi. Umuingilie katika sehemu iliyo sahihi tu (sio sehemu ya nyuma) Uanze kwa vitangulizi (vya jimai) ikiwa ni pamoja na maneno ya mapenzi. Uendelee mpaka umtosheleze hamu yake. Mpumzike na mfanyiane mzaha mnapomaliza Epukana na jimai wakati wa damu ya mwezi kwa sababu kufanya hivyo ni haraam Fanya chochote unachoweza kuepuka kuharibu kiwango chake cha haya alicho nacho (haya na staha) mfano kuvua nguo pamoja badili ya kumtaka avue yeye mwanzo huku ukiwa unamuangalia. Epuka wakati wa jimai mkao ambao unaweza kumuumiza mfano kumgandamiza katika kifua inayopelekea kumzuilia pumzi, hususan iwapo wewe ni mzito. Chagua muda muwafaka kwa jimai na uwe unamjali kwani wakati mwengine anaweza kuwa ni mgonjwa au amechoka.

Kudhibiti Siri 

13.

Jiepushe na kutoa habari za siri mfano wa siri za chumbani, matatizo yake binafsi na masuala mengine ya kibinafsi.

Kumuongoza katika kumtii Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) 

  

Muamshe katika sehemu ya tatu ya mwisho ya usiku kusali “Qiyaamul-Layl” (Swalah za ziada za usiku zenye sujuud na ruku’u za muda mrefu). Mfundishe kile unachokijua katika Qur-aan na tafsiri zake. Mfundishe “Dhikr” (njia za kumtaja Allaah kama alivyofundisha Mtume) za asubuhi na jioni. Muhimize kutumia pesa kwa ajili ya Allaah (Sibhaanahu wa Ta'ala) kama vile kutoa sadaka.



14.

Mchukue katika safari ya Hijja na 'Umrah wakati unapokuwa na uwezo.

Kuonyesha heshima kwa familia yake na rafiki zake     

14.

Mchukue katika matembezi kwa familia na jamaa, hususan wazazi wake. Waalike kumtembelea na wakaribishe. Wapatie zawadi kunapokuwa na jambo maalum (kama sikukuu) Wasaidie wanapokuwa na haja kwa msaada wa fedha, nguvu, n.k. Endeleza uhusiano mzuri na familia yake baada ya kifo chake iwapo atakufa mwanzo. Pia kwa hali kama hii mume anahimizwa kufuata Sunnah na kutoa kile ambacho yeye (mke) alizoea kutoa wakati wa uhai wake kuwapa rafiki ya jamaa zake.

Mafunzo ya Kiislam na kumshauri kwa kumrekebisha Hii ni pamoja na:      

16.

Misingi ya Uislam. Haki na wajibu wake. Kusoma na kuandika. Kumhimiza kuhudhuria darsa na halaqah (darsa duara za Msikitini na majumbani). Hukumu za Kiislam zinazowahusu wanawake. Kumnunulia vitabu vya Kiislam na kaseti kwa ajili ya maktaba ya nyumbani.

Wivu unaokubalika   

Hakikisha kuwa anavaa hijaab kamili anapotoka nyumbani. Usimruhusu kuchanganyika ovyo na wanaume wasio- Mahram. Jiepushe na wivu uliozidi mno. Mfano wake ni kama:

1.

Kulichambua kila neno na sentensi asemayo maneno yake kwa maana ambazo hakuzikusudia.

na kuyajaza

Kumzuia kutoka nje ya nyumba zinazokubalika. 3. Kumzuilia kujibu simu, n.k. 2.

17.

hata kama kuna

sababu

Subira na Upole 



 

Matatizo yanatarajiwa katika kila ndoa kwa hivyo hili ni jambo la kawaida, Lililo kosa ni majibizano ya kupindukia na kuyakuza matatizo mpaka yakapelekea kuvunjika kwa ndoa. Hasira lazima zionyeshwe pale anapochupa mipaka ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala), kwa kuchelewesha Swalah, kusengenya, kuangalia yasiyofaa katika TV, n.k. Kumsamehe makosa anayokukosea wewe (Angalia sehemu ya 18). Ni namna gani unaweza kumrekebisha makosa yake?

1- Kwanza, mpe ushauri kwa njia ya mzunguko na ya moja kwa moja mara kwa mara 2- Kisha kwa kumpa mgongo katika kitanda kumuonyesha hisia zako). Tanabahi kuwa hii haihusishi kuhamia chumba kingine, kuhamia nyumba nyingine, au kutomsemesha 3- Utatuzi wa mwisho ni kumpiga kidogo (kwa namna ilivyoruhusiwa) Katika hali hii, mume ni lazima aangalie yafuatayo



Ni lazima ujue kuwa Sunnah ni kuepukakumpiga kwani Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) hakuwahi kumpiga mwanamke wala mtumwa



Ni lazima ufanye hivyo katika hali ya juu kabisa ya kutotii, mfano mara kwa mara kukataa tendo la jimai bila ya sababu, mara kwa mara kutosali kwa wakati wake, kuondoka nyumbani kwa muda mrefu bila ya ruhusa na kukataa kusema pahala alipokuwepo, n.k

18.



Usifanye hivyo mpaka awe umeshampa mgomo na kulijadili hilo suala pamoja nae kamailivyoelezwa katika Qur-aan



Usimpige pigo la nguvu la kumuumiza au kumpiga usoni au katika sehemu zilizo nyepesi kuathirika katika mwili wake.



Jiepushe na kumdhalilisha kama kumpiga kwa kiatu, n.k.

Kusamehe na makaripio yanayofaa



Mhukumu kwa makosa makubwa tu



Msamehe makosa aliyokukosea wewe bali mhukumu kwa makosa ya haki za Allaah, mfano kuchelewesha Swalah, n.k



Kumbuka mazuri anapofanya makosa



Kumbuka kuwa kila mwanaadamu hukosea na umuwazie dharura mfano huenda amechoka, ana huzuni, yumo katika siku zake za mwezi au imani/mafungamano yake katika Uislam bado yamo katika kukua



Jiepushe na kumgombeza kwa mapishi mabaya kwani Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) hakuwahi kumlaumu yeyote katika wake zake kwa jambo hili. Iwapo amekipenda chakula, hula na iwapo hakukupenda hukiwacha na hatoi maoni yoyote.



Kabla ya kumuwekea wazi kuwa amefanya makosa, jaribu njia nyingine za mzunguko ambazo ni za hekima kuliko kumlaumu wazi wazi



Epukana na kutumia jeuri au maneno yanayoumiza hisia zake

yote

anayomfanyia

kila

wakati



Inapokuwa kuna ulazima wa kujadili tatizo subiri mpaka mnapokuwa faragha



Subiri mpaka hasira zipungue kidogo, hii inasaidia kuweza kudhibiti maneno yako

Jinsi Ya Kumfurahisha Mkeo.pdf

katika kutekeleza haki hizi katika maisha ya kila siku. Ufupisho ufuatao unamulika. zaidi katika majukumu ya nini kinaweza au kinachotakiwa kifanywe. Kila jambo. lililotajwa na muandishi limeegemezwa katika ushahidi wa Qur-aan, Sunnah au. matendo ya Maswahaba, bali ushahidi haukuwekwa katika tafsiri hii. Ifuatayo ...

178KB Sizes 32 Downloads 263 Views

Recommend Documents

HUZUNI YA JINSI YA MUNGU-3.pdf
Whoops! There was a problem loading more pages. Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps.

HUZUNI YA JINSI YA MUNGU... Wiki 1.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. HUZUNI YA ...

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WANAFUNZI-WALIOCHAGULIWA-KIDATO ...
Page 1 of 15. S/N NAMBA YA. MTIHANI. JINSIA JINA KAMILI SHULE ATOKAYO TAHASUSI. SHULE. AENDAYO. WILAYA YA. SHULE. AENDAYO. MKOA WA.

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WALIOBADILISHIWA-VITUO ...
Gerald. Muuguzi daraja la II Halmashauri ya. wilaya ya Rugwe. Halmashauri ya. Wilaya ya Karatu. 2. Lina Efrem Mrema Afisa Muuguzi. Msaidizi daraja la II. Halmashauri ya. wilaya ya ... Page 3 of 3. Main menu. Displaying ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-W

SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf ...
Page 2 of 928. Page 3 of 928. Page 3 of 928. SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf. SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI ...

SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf ...
SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf. SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf. Open. Extract. Open with. Sign In.

Jumapili ya 5 ya Kwaresima A 2017.pdf
Jumapili ya 5 ya Kwaresima A 2017.pdf. Jumapili ya 5 ya Kwaresima A 2017.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu.

YA Book Prize.pdf
There was a problem loading more pages. YA Book Prize.pdf. YA Book Prize.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu. Displaying YA Book Prize.pdf.

KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KWA KISWAHILI (PENAL CODE ...
KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KWA KISWAHILI (PENAL CODE).pdf. KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KWA KISWAHILI (PENAL CODE).pdf. Open.

Jumapili ya 3 ya Kwaresima A 2017.pdf
watu hawa? Bado kidogo nao watanipiga kwa mawe. Bwana akamwambia Musa, Pita mbele ya watu, uka- wachukue baadhi ya wazee wa Israeli pamoja nawe;.

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA-WANAOSTAHILI ...
Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA-WANA ... IKIZO-YA-MISHAHARA-ilovepdf-compressed.pdf. ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA-WANA ... IKIZO-YA-MISHAHA

16,000 hatarini kukosa mikopo ya elimu ya juu.pdf
Whoops! There was a problem loading more pages. Retrying... Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more ...

ORODHA YA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI ...
Page 1 of 376. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO. TANGAZO LA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KULIPWA MADAI YA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA BAADA YA UHAKIKI. S/NO. VOTE VOTE_NAME EMPLOYEE FIRST_NAME MIDDLE_NAME ...

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA ...
Loading… Whoops! There was a problem loading more pages. Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. Main menu. There was a problem previewing

Ya Ya Bridges Activity + Description Estimat ed Time
Oct 5, 2013 - Theme: __Family member. Objective: _Review family members ... 我/他/她家有….(+number) 个人,+ add the family member you/he/she have.

RATIBA YA BUNGE.pdf
Page 1 of 5. Page 1 of 5. Page 2 of 5. Page 2 of 5. Page 3 of 5. Page 3 of 5. RATIBA YA BUNGE.pdf. RATIBA YA BUNGE.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In.

YA Book Prize.pdf
are no longer born naturally, girls (called "eves") are raised in Schools. and trained in ... and Isabel are best friends. Now, aged ... Page 2 of 2. YA Book Prize.pdf.

Samsung ya sbr510 manual pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. Samsung ya ...

JINSI NABII HEBRON ALIVYOITIKISA KUZIMU--(ZIJUE SIRI KUBWA ...
JINSI NABII HEBRON ALIVYOITIKISA KUZIMU--(ZIJUE SIRI KUBWA ZA SHETANI).pdf. JINSI NABII HEBRON ALIVYOITIKISA KUZIMU--(ZIJUE SIRI KUBWA ZA ...

I just wanna love ya I just wanna love ya Ajikdo kkumin geot gata oh ...
[Rap Monster] a i chonnomdeul nan. Seoul state of mind nan seoureseo naseo seoulmal jal baewotda yojeumeun mwo eodi saturiga da byeoseuridaman.