GOMBO LA WIKI/MWEZI Tuandikie au tuma ujumbe mfupi wa simu kupitia: [email protected] www.facebook.com/mwlsamwelmkumbo +255 753 204 743

HUZUNI YA JINSI YA MUNGU

Mwl. Samwel Mkumbo

GOMBO LA WIKI

Na: Samwel Mkumbo Sehemu ya 1.

“HUZUNI YA JINSI YA MUNGU” Katika GOMBO LA WIKI hii ninakufundisha kuhusu “HUZUNI YA JINSI YA MUNGU”, na hii ni kutokana na swali nililoulizwa na ndugu mmoja kutokana na kitabu cha 2 Wakorintho 7:10, umeandikwa hivi; “Maana huzuni iliyo kwa jinsi ya Mungu hufanya toba liletalo wokovu lisilo na majuto; bali huzuni ya dunia hufanya mauti.” KARIBU!! Inawezekana si Neno geni kwako kusikia “HUZUNI YA JINSI YA MUNGU” na inawezekana kwako ni geni pia jambo hili lakini sote tulete mawazo yetu hapa! Weka moyo wako kwenye Utulivu ili nikufundishe na Roho Mtakatifu aseme nawe juu ya hili KWA JINA LA YESU, Neno Hili Likawe Na Nguvu Na Lenye Kuponya KWA JINA LA YESU Na Kuleta Hekima Ndani Yako KWA JINA LA YESU. Aaamen Ili kuweza kuyatenda mapenzi ya Mungu ni muhimu kuyajua na ili kuyajua mapenzi yake basi yanapatikana kwa kulijua Neno lake, naam!, Neno ndilo limebeba maelekezo ya Mungu, sasa basi moja ya jambo Mungu ameliweka bayana ni pale mwanadamu anapokosea ni KUTUBU na KUREJEA, naam, ni “Kutubu na Kurejea”. 37

Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, Tutendeje, ndugu zetu? 38 Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu ( Matendo 2:3738) Kabla sijaendelea kukueleza mengi labda nikupe maelezo haya kwanza, TOBA ni “Tokeo” yanayoleta “Matokeo”, naam! Ni sahihi, na nirudie tena kukazia hapo Toba ni TOKEO LINALOLETA MATOKEO. Na hii ni kwa sababu kabla “Toba” haijafanyika kuna mambo” Yanayootangulia” na baada yake kuna mambo “Yanayofuata” ndio maana ni kasema kuwa……. Toba ni Tokeo linaloleta Matokeo……., na hiyo ni muhimu kuijua sana sana maana ..,,…,..tunaweza tusithamini toba kwa maana hatujui matokeo yake, lakini pia ,,..,,..,,tunaweza tusithamini toba kwa kuwa hatujui inasababishwa na nini……… lakini pia tunaweza kuifanya kwa mazoea kwa kuwa hatujui inatokana na nini na itazaa nini.

Lakini katika Somo hili nitasimama kwenye upande wa kukufundisha KUTUBU kama TOKEO lililotokea kutokana na mambo kadhaa. Matendo 2:37 inasema hivi; 37

Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, Tutendeje, ndugu zetu? Katika mstari huo tunaona jinsi gani unaweza kuona kwamba Kutubu ni Tokeo linalokuja baada ya mambo kadhaa kutokea na mojawapo tumeliona hapo juu, biblia inanena hivi……37Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao.,..,…”

MAMBO YANAYOTANGULIA ILI TUPATE KUTUBU Kuna mambo kadhaa yanayotangulia ili kutupa Nguvu na Wito wa kutubu na haya ni muhimu kuyafahamu maana kwa kutojua haya wengine wameishia kutojua nini cha kufanya yanapotokea katika maisha yao ya kila siku, na wengine yamewatokea wakaishia kwenye hayo pasi kwenda hatua iliyo ya muhimu ambayo ni “Kutubu”

Kutambua dhambi /kosa Hili ndilo jambo la kwanza aambalo huleta matokeo ya kutubu juu ya jambo lolote lile, nah ii inatupa kuelewa zaidi pale ninapikwambia Kutubu ni Tokeo, na moja ya sababu ya tokeo hilo ni “Kutambua Kosa” ambalo mtu au watu wanakuwa nalo. Kwa habari ya Mfalme Daudi katika Zaburi 51:3 tunasoma maneno haya: “Maana nimejua mimi makosa yangu ,na dhambi yangu i mbele yangu daima ". Daudi anasema kwa Mungu kuwa jambo linalompa Kutubu au jambo lilimpelekea kwenda kwa Mungu kuomba msamaha analisema hivi “…. Maana NIMEJUA mimi MAKOSA yangu……” Watu wengi tumekuwa hatupati msamaha wa dhambi kwakuwa hatuko tayari “Kutubu” na hii ni kwasababu hatuna utayari na hatutaki “Kutambua” dhambi zetu. Kosa letu ni kuwa tunarahisisha dhambi na kufanya kuwa ni jambo la kawaida, na mara nyingi kwa mawazo na maneno yetu au hata matendo yetu tumehalalisha haramu na kuharamisha halali NI MBAYA. Ni muhimu kuelewa kwamba unapojikuta “Umetambua” ya kuwa unalo kosa mbele za Mungu ni nafasi yako ya kwenda Kutubu na pia ukiona unapata hamu ya Kutubu basi ujue ndani kama nje bado hujaona jua tu roho yako imetambua kuna kosa

mahali na ndio maana unapata hamu ya kutubu usianze kufikiri-fikiri anza Kutubu na utaona jinsi Mungu anavyolifunua hilo ulilolitambua rohoni.

Kujutia dhambi. Ili mtu aweze kujutia dhambi ni lazima kuwepo na mguso wa ndani ya moyo (nafsi yake), lakini hii si hatua ya mwisho, maana wengi wanapotoka hatua ya kwanza (Kutambua Kosa) huwa wanaishia kwenye hii hatua ya pili ya “Kujutia” lile alilolitambua kuwa ni kosa ndani yake na huwa wanaishia hapo, Luka 15:17 utakuta maneno haya:Alipozingatia moyo mwake alisema ……………….. mwana mpotevu hakuwa na chakufanya baada ya kutambua dhambu yake ila kwanza kujutia moyoni. NAHATUWEZI KUJUTIA DHAMBI BILA YAKUITAMBUA DHAMBI. Itaendelea,…….. Mungu awe pamoja nawe katika wiki hii unapotafakari GOMBO LA WIKI.

HUZUNI YA JINSI YA MUNGU... Wiki 1.pdf

There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. HUZUNI YA ...

387KB Sizes 41 Downloads 435 Views

Recommend Documents

HUZUNI YA JINSI YA MUNGU-3.pdf
Whoops! There was a problem loading more pages. Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps.

Jinsi Ya Kumfurahisha Mkeo.pdf
katika kutekeleza haki hizi katika maisha ya kila siku. Ufupisho ufuatao unamulika. zaidi katika majukumu ya nini kinaweza au kinachotakiwa kifanywe. Kila jambo. lililotajwa na muandishi limeegemezwa katika ushahidi wa Qur-aan, Sunnah au. matendo ya

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WANAFUNZI-WALIOCHAGULIWA-KIDATO ...
Page 1 of 15. S/N NAMBA YA. MTIHANI. JINSIA JINA KAMILI SHULE ATOKAYO TAHASUSI. SHULE. AENDAYO. WILAYA YA. SHULE. AENDAYO. MKOA WA.

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WALIOBADILISHIWA-VITUO ...
Gerald. Muuguzi daraja la II Halmashauri ya. wilaya ya Rugwe. Halmashauri ya. Wilaya ya Karatu. 2. Lina Efrem Mrema Afisa Muuguzi. Msaidizi daraja la II. Halmashauri ya. wilaya ya ... Page 3 of 3. Main menu. Displaying ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-W

SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf ...
Page 2 of 928. Page 3 of 928. Page 3 of 928. SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf. SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI ...

SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf ...
SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf. SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (CPA).pdf. Open. Extract. Open with. Sign In.

Jumapili ya 5 ya Kwaresima A 2017.pdf
Jumapili ya 5 ya Kwaresima A 2017.pdf. Jumapili ya 5 ya Kwaresima A 2017.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu.

YA Book Prize.pdf
There was a problem loading more pages. YA Book Prize.pdf. YA Book Prize.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In. Main menu. Displaying YA Book Prize.pdf.

KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KWA KISWAHILI (PENAL CODE ...
KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KWA KISWAHILI (PENAL CODE).pdf. KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KWA KISWAHILI (PENAL CODE).pdf. Open.

Jumapili ya 3 ya Kwaresima A 2017.pdf
watu hawa? Bado kidogo nao watanipiga kwa mawe. Bwana akamwambia Musa, Pita mbele ya watu, uka- wachukue baadhi ya wazee wa Israeli pamoja nawe;.

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA-WANAOSTAHILI ...
Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA-WANA ... IKIZO-YA-MISHAHARA-ilovepdf-compressed.pdf. ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA-WANA ... IKIZO-YA-MISHAHA

16,000 hatarini kukosa mikopo ya elimu ya juu.pdf
Whoops! There was a problem loading more pages. Retrying... Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more ...

ORODHA YA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI ...
Page 1 of 376. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO. TANGAZO LA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KULIPWA MADAI YA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA BAADA YA UHAKIKI. S/NO. VOTE VOTE_NAME EMPLOYEE FIRST_NAME MIDDLE_NAME ...

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WATUMISHI-WA-UMMA ...
Loading… Whoops! There was a problem loading more pages. Whoops! There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. Main menu. There was a problem previewing

Ya Ya Bridges Activity + Description Estimat ed Time
Oct 5, 2013 - Theme: __Family member. Objective: _Review family members ... 我/他/她家有….(+number) 个人,+ add the family member you/he/she have.

RATIBA YA BUNGE.pdf
Page 1 of 5. Page 1 of 5. Page 2 of 5. Page 2 of 5. Page 3 of 5. Page 3 of 5. RATIBA YA BUNGE.pdf. RATIBA YA BUNGE.pdf. Open. Extract. Open with. Sign In.

YA Book Prize.pdf
are no longer born naturally, girls (called "eves") are raised in Schools. and trained in ... and Isabel are best friends. Now, aged ... Page 2 of 2. YA Book Prize.pdf.

Samsung ya sbr510 manual pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. Samsung ya ...

I just wanna love ya I just wanna love ya Ajikdo kkumin geot gata oh ...
[Rap Monster] a i chonnomdeul nan. Seoul state of mind nan seoureseo naseo seoulmal jal baewotda yojeumeun mwo eodi saturiga da byeoseuridaman.

SHERIA YA KUZUIA UGAIDI.pdf
There was a problem previewing this document. Retrying... Download. Connect more apps... Try one of the apps below to open or edit this item. SHERIA YA ...Missing: